VOA60 Afrika: Siku ya wanawake iloadhimishwa imewaleta pamoja wanawake wakikristo na kiislamu walokumbwa na ghasia huko CAR

Your browser doesn’t support HTML5

Siku ya wanawake iloadhimishwa March 8 imewaleta pamoja wanawake wakikristo na kiislamu walokumbwa na ghasia huko Jamhuri ya Afrika ya Kati; na Mradi uloshinda tuzo huko Misri, unaendelea na kutetea haki za walemavu na kulenga kuboresha maisha yao na kuwapatia mafunzo.