Rais Obama atembelea mskiti Marekani

Your browser doesn’t support HTML5

Kwa mara ya kwanza tangu kuchaguliwa rais miaka 7 iliyopita Rais Barack Obama atembelea mskiti wa Marekani kuzungumzia vita dhidi ya itikadi kali za kidini.