Dharuba ya theluji yafunga majimbo 11 ya Marekani

Your browser doesn’t support HTML5

Hali ya tahadhari yatangazwa katika majimbo 11 ya naskazini mashariki ya Marekani kutokana na dharuba ya theluji iliyokwisha sababisha vifo vya watu 8.