Wamarekani Washerehekea Sikukuu ya Martin Luther King 2016

Your browser doesn’t support HTML5

Maelfu na maelfu ya wamarekani walisherehekea siku ya kuzaliwa kiongozi wa haki za piraya Dk. Martin Luther King, kwa kufanya kazi za kujitolea kusaidia wenzao wasio na uwezo.