Rais Obama atoa Hotuba yake ya mwisho juu ya Hali ya Taifa

Your browser doesn’t support HTML5

Rais Obama amezungumzia mafanikio ya miaka 7 ya utawala wake katika masala ya kiuchumi, kijami, maendeleo sera za ndani na za kigeni. Huwenda ikawa mara ya mwisho kuhutubia mabaraza mawili ya bunge kama rais.