Rais Magufuli akutana na Maalim Saif

Your browser doesn’t support HTML5

Rais John Magufuli wa Tanzania akutana na Maalim Saif Sharif Hamadi, kiongozi wa CUF, kwenye Ikulu ya Dar es Salaam, lakini haijajulikana ni masuala gani ya kina viongozi hao walijadili, ingawa walizungumza na waandishi habari baada ya mazungmzo yao ya Jumatatu