Mkutano wa Viongozi wa China na Afrika
Your browser doesn’t support HTML5
Mkutano wa viongopzi kati ya China na chi za Afrika umefunguliwa Johannesburg Afrika Kusin, Ijuma Disemba 4, 2015, ambapo Rais Xi Jinping ametangaza msaada wa dola bilioni 60 kwa maendeleo ya afrika