Waziri Mkuu wa Tanzania Majaliwa atembelea TRA

Your browser doesn’t support HTML5

Waziri Mkuu wa Tanzania Majaliwa Kassim Majaliwa, alifanya ziara ya ghafla Ijuma Novemba 27, 2015 katika bandari ya Dar Es Salaam na kutangaza hatua za kuwafukuza maafisa waandamizi wa Mamlaka ya Mapato TRA, kutokana na ubadhirifu.