Mbatia adai upinzani haukuondoka bungeni

Your browser doesn’t support HTML5

James Mbatia kiongozi mmoja wapo wa UKAWA anasema wabunge wake hawakuondoka bungeni bali waliondolewa, licha ya kwamba walikata kunyamaza.