Sakata la Uchaguzi wa Tanzania

Your browser doesn’t support HTML5

Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi ya Zanzibar amefuta uchaguzi wote na kutaka uchaguzi mpya jambo ambalo wengi wanalipinga. Na mgombea upinzani Edward Lowassa ataka zowezai la kuhesabu kura kusitishwa na kura kuhesabiwa upya.