Uchaguzi wa Kihistoria wa Tanzania 2015

Your browser doesn’t support HTML5

Uchaguzi wa Tanzania wa 2015, ni wa kihistoria katika mfumo wake wa kidemokrasia kutokana na ushindani mk8ubwa uliyopo, kuungana kwa vyama vikuu vya upinzani, jukumu la mitandao ya kijami na uhuru mkubwa wa watu kujieleza.