Uturuki Yaomboleza Mauwaji ya Ankara
Your browser doesn’t support HTML5
Wananchi wameandamana huko Uturuki Jumapili kudai amani pamoja na kuitaka serikali kuimarisha usalama na kuacha vita, kufuatia mashambulizi mabaya ya kigaidi katika historia ya nchi hiyo Jumamosi.