Papa Francis akamilisha ziara ya Cuba

Your browser doesn’t support HTML5

Kiongozi wa kanisa la Katholiki, Papa Francis akamilisha ziara ya kihistoria ya siku tatu nchini Cuba akitoa wito wa kuwepo sasa mapinduzi ya kustahmiliana na kuridhiana.