Moto wateketeza duka kuu la T2000 Bujumbura

Your browser doesn’t support HTML5

Duka kubwa la biashara linalomilikiwa na raia wa China huko Bujumbura limeteketea kutokana na moto unaosemekana ulisababishwa na hitilafu za umeme.