Majambazi wavamia kituo cha polisi Dar Es Salaam

Your browser doesn’t support HTML5

Wakuu wa usalama Dar es Salaam wathibitisha kwamba majambazi washambulia kituo cha polisi cha Stakishari Ukonga, na kusababisha vifo vya polisi 4 raia 3 na jambazi mmoja