Wamiliki wa mitandao wazungumzia uchaguzi wa Tanzania; Live Talk

Rais wa Tanzania Jakaya Kikwete

Uchaguzi mkuu wa Tanzania wa mwaka 2015 unafungua ukurasa mpya juu ya anmna unavyoripotiwa na vyombo vya habari na hivi sasa mitandao ya kijamii imeingilia kati pia. Katika mjadala wa Ijuma wa VOA "Live Talk" baadhi ya wamiliki wazungumzia sababu ya wao kujihusisha na kufuatilia uchaguzi mkuu huo kwa karibu.

Your browser doesn’t support HTML5

Mjadala wa Ijumaa wamiliki wa mitandao na uchaguzi.