Matatizo ya kivuko cha Kigamboni Dar VOA Mitaani

Your browser doesn’t support HTML5

wakazi wanaotumia kivuko cha Kigamboni Dar Es Salaam wanalalamika juu ya matatizo yanayowakumba kutokana na ukosefu wa utaratibu unaostahiki.