Al Shabab washambulia Idara ya Ujasusi Somalia

Your browser doesn’t support HTML5

wapiganaji wamshambulia idara ya ujausi ya Somalia kitengo cha mafunzo na kusababisha hasara kubwa kwa sehemu la jengo na kuuliwa na wapiganaji wanne.