Mafuriko yaathiri usafiri, biashara Dar es Salaam

Your browser doesn’t support HTML5

Mvua kubwa zimesababisha mafuriko maeneo kadha Tanzania ikiwa ni pamoja na katika visiwa vya Zanzibar na mji mkuu wa biashara Dar es Salaam