Ujumbe wa Kerry wakati wa ziara yake Mogadishu

Your browser doesn’t support HTML5

Waziri wa mambo ya nchi za nje wa Marekani John Kerry ametembelea Mogadishu akiwa waziri wa kwanza wa Marekani kufanya hivyo siku ya Jumanne. Akiwa huko alikutana na viongozi wa serikali na kutoa ujumbe kwa wananchi wa taifa hilo.