Al Shabab washambulia basi la UNICEF

Your browser doesn’t support HTML5

Wanamgambo wa kundi la Kisomali la Al-Shabab limeshambulia basi lililokua linawasafirisha wafanyakazi wa UNICEF kaskazini ya Mogadishu na kusababisha vifo vya watu saba na saba kujeruhiwa.