Hillary Clinton atangaza kugombania urais Marekani 2016

Your browser doesn’t support HTML5

Hii itakuwa mara ya pili kwa Hillary Clinton, mke wa rais wa zamani Bill Clinton, kugombania kiti cha rais baada ya kushindwa na Rais Barack Obama katika kugombania kuwakilisha chama cha Democratic mwaka 2008