Wakenya waomboleza mashambulizi ya Garissa

Your browser doesn’t support HTML5

Wakenya waomboleza maafa ya Garissa wakati wa Pasaka pale familia ziliweza kukutana kwa mara ya kwanza na watoto wao walonusurika.