Saudi Arabia yashambulia Yemen

Your browser doesn’t support HTML5

Saudi Arabia na mataifa 10 ya Baraza la Ushirikiano wa Ghuba GCC wameanza kuwashambulia wapiganaji wa kihouthi waloshambulia miji mbali mbali ya Yemen wakipata msaada kutoka wanajeshi wa serikali ya zamani ya Ali Abdullah Saleh