Fuko la kusafisha maji Kenya

Your browser doesn’t support HTML5

Katika muungano wa kipekee wa kuunganisha maslahi ya biashara na kuhifadhi mazingira, fuko la maji limeanzishwa lenye lengo la kulinda chanzo kikuu cha maji ya Nairobi, mto Tana.