Maandamano Brazil dhidi ya Rais Rousseff

Your browser doesn’t support HTML5

Karibu watu milioni moja waliandamana katika miji ya Brazil Jumapili kulalamika dhidi ya hali ngumu ya uchumi, ulaji rushwa na kuondolewa kwa Rais Dilma Rousseff.