Hussein Rajabu azungumzia malengo yake ya kisiasa na VOA
Your browser doesn’t support HTML5
Akizungumza kwa mara ya kwanza tangu kukimbia kutoka jela ambako alikua anatumikia kifungo cha miaka 13 tangu 2007, Rajabu amemkosoa mshauri wake mkuu Nkuruziza kwa kuhatarisha utulivu wa kidemokrasia nchini mwake.