Polisi wa Tanzania wawashambulia majambazi Amboni -Tanga
Your browser doesn’t support HTML5
Vikosi vya usalama vya Tanzania vimewashambulia majambazi walokuwa wamejificha kwenye mapango ya Amboni wilayani Tanga. Maafisa sita wa polisi wamejeruhiwa na majambazi wamekimbia