Polisi wa Misri wa wafurusha waandamanaji Cairo

Your browser doesn’t support HTML5

Polisi wametumia mabomu ya kutowa machozi na mabomba ya maji kuwafukuza maelfu ya waandamanaji walopinga uwamuzi wa mahakama kufutilia mbali mashtaka dhidi ya rais wa zamani Hosni Mubarak.