Matatizo yanayowakumba wachuzi wa Nairobi
Your browser doesn’t support HTML5
Wachuzi wa jiji wa Nairobi wanafurushwa kila mara na polisi kwa kutokuwa na vibali vinavyostahiki kuuza bidhaa zao njiani, lakini hakuna soko maalum kuweza kuwaweka wachuzi wote .