Hali ya afya ya Rais Kikwete inaendelea vizuri- Mbena

Your browser doesn’t support HTML5

Hali ya Rais Jakaya Kikwete inaendelea vizuri siku mbili baada ya upasuwaji wa tezi dume mjini Baltimore kulingana na katibu wa rais Prosper Mbena.