Muziki ni moja ya sehemu kubwa ya maisha ya vijana duniani ukiwa ni wa kidini au wa kidunia katika jukwaa la Vijana tumezungumza na mwanamzuiki wa Injili Milka Kakete ambaye alijipatia ushindi katika mashindano ya kimataifa ya muziki wa Injili yaliofanyika katika jiji la Maryland na Milka Kakete ambaye ni Mtanzania anayeishi Canada aliibuka mshindi katika mashindno yaliojumuisha wanamuziki wa Injili kutoka nchi mbali mbali za Afrika.
Your browser doesn’t support HTML5
Milka Kakete ashinda tuzo ya muziki wa Injili