Mahojiano na Humphery Polepole

Your browser doesn’t support HTML5

BwHumphery Polepole anasema kwa bahati mbaya Baraza la Katiba limeharibu kabisa utaratibu wa kuandika katiba mpya ya Tanzania na huwenda ikabidi kuanza upya utaratibu huo.