Waziri Mwakyembe azungumzia ajali za barabarani

Your browser doesn’t support HTML5

Waziri wa uchukuzi wa Tanzania Dr. Mwakyembe ametisha mkutano wa kitaifa kujadili namna ya kudhibiti usalama wa barabarani na hatua za kuchukuliwa.