Mgomo wa Wafanyabiashara Dar es Salaam - VOA Mitaani

Your browser doesn’t support HTML5

Baadhi ya wafanyabiashara wa Dar es Salaam wamefanya mgomo kupinga utumiaji wa mashini za elektroniki zaa kutoa risiti, kuweza kupima mapato yao kwa ajili ya kodi EFD.