MONUSCO ya adhimisha siku ya walinda amani - 1:59

Your browser doesn’t support HTML5

Kikosi kikubwa kabisa cha kulinda amani cha Umoja wa Mataifa kinapatikana DRC, na kinakabiliwa na changamoto kubwa ya kudumisha amani nchini humo.