Mahojiano na Olenguruma

Your browser doesn’t support HTML5

Onesmo Olenguruma, mwanasheria na mtetezi wa haki za binadam anasema kutokana na historia ya Tanzania wananchi wa Mtwara na Lindi wanahaki ya kutetea maslahi yao kufuatana na katiba