Lyatuu azungumzia uchaguzi wa Ohio 6 Novemba, 2012 Your browser doesn’t support HTML5 Ohio ni jimbo ambalo lina ushindani mkubwa na huwenda rais mpya akachaguliwa kutokana na matokeo ya jimbo hilo.