Yakukumba atetea vita vyao

Your browser doesn’t support HTML5

Yakukumba kikongozi wa kundi la Mai Mai Yakukumba alaani serikali kwa kushindwa kuheshimu makubaliano ya Goma na wataendelea na mapambano.