Kenya ina nia ya kutumia nishati ya Nuklia

Your browser doesn’t support HTML5

Serikali ya Kenya imetangaza nia ya kuunda kinu cha nuklia kunaza kuzalisha umeme kuweza kukidhi mahitaji ya nishati nchini humo. Lakini wajkosowaji wapinga mradi huo wakidai unahatari kubwa zaidi.