Mjadala wa kupunguza mishahara Kenya - VOA Mitaani

Your browser doesn’t support HTML5

Mjadala wa kupunguza mishahara ya watumishi wa serikali na wabunge umejitokeza Kenya baada ya Rais Uhuru Kenyatta kupungza mshahara wake nja wa naibu wake kwa asili mia 20 pamoja na mawaziri wake.