Jeshi la Congo linasonga mbele dhidi ya ADF-Nalu

Your browser doesn’t support HTML5

Jeshi la FARDC limeweza kupata ushindi muhimu dhidi ya wapiganaji wa ADF-Nalu kutoka Uganda kaskazini ya mji wa Beni, mashariki ya Congo