Kinshasa inawataka M23 kujisalimisha

Your browser doesn’t support HTML5

Baada ya siku nne za mapigano makali huko mashariki ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Serikali ya Kinshasa imetowa wito kwa wapiganaji M23 kujisalimisha.