Jeshi la Kenya ladhibiti Westgate Mall

Your browser doesn’t support HTML5

Baada ya shambulizi la siku mbili jeshi la Kenya linasema limechukua udhibiti wa soko kuu la Westgate Nairobi lakini kungali na watu wanaoshikiliwa mateka.