Viongozi wa BRICS waimarisha ushirikiano wao Durban

Your browser doesn’t support HTML5

Vio ngozi wa Jumuiya ya BRICS wakamilisha mkutano wa viongozi mjini Durban kwa kuimarisha ushirikano na uhusiano kati yao lakini hawakukubaliana juu ya kuanzisha benki yao ya maendeleo