Timu Nyota ya Afrika 2013

Your browser doesn’t support HTML5

Chagua Timu Nyota ya Afrika 2013 ya VOA. Chagua golikipa, mshambuliaji, mcheza kati na mlinzi kutoka wachezaji bora wa kandanda Afrika. Upigaji kura unaanza Januari 19 na kumalizika Februari 10. Timu Nyota itakayochaguliwa itatangazwa Februari 11. Unaweza kupiga kura kupitia tovuti na simu ya mkono.