Warepublican waendelea kushika udhibiti wa baraza la wawakilishi katika Congress

Chama cha Republican kimefanikiwa kuendelea kushika udhibiti wa baraza la wawakilishi katika bunge la Marekani