Mitt Romney ashinda majimbo ya Indiana, Kentucky na West Virginia - Obama achukua Vermont

Mrepublican Mitt Romney aongoza kwa kura za wajumbe 24 kwa tatu baada ya kushinda majimbo ya Indiana, kentucky na West Virginia, Rais Obama ameshinda jimbo dogo la Vermont