Mripuko wa bomu nje ya Hoteli Jazeera Palace

  • Gabe Joslow

Your browser doesn’t support HTML5

Mabomu mawili yaripuka Jumatano nje ya hoteli ambako waziri wa mambo ya nchi za nje wa Kenya alikuwa anazungumza na waandioshi habari , na Rais wa Somalia alikuwa ndani ya hoteli hiyo