Wachambuzi wa kisiasa wanasema ghasia za Mombasa hazitokani na ugomvi wa kidini

Kenya Slain Muslim Cleric

wachambuzi wa kisiasa, wanaharakati, viongozi wa kidini na kisiasa katika mkoa wa Pwani nchini Kenya wanasema kwamba ghasia za siku mbili zilizoshuhudiwa katiika mji wa pili kwa ukubwa nchini Kenya, Mombasa hauhusiani na ugomvi wa kidini.

Your browser doesn’t support HTML5

Mahojiano na Hassan Mwachimwako


Mtaalamu wa historia ya jamii ya kislamu katika kanda ya Afrika kusini mwa janga la Sahara Hassan Mwachimwako, anasema ghasia kweli zinatokana na hasira za vijana wa kislamu lakini walosababisha hasara kubwa ni makundi ya kidini.